BIASHARA YENYE MTAJI MDOGO

Watu wengi hushindwa kufanya maamuzi katika kuanzisha biashara kutokana na kukosa maalifa na kukalili kuwa kufanya biashara lazima uwe na mtaji mkubwa sanasana.Bali jibu ni hapana kwani kuna baadhi ya biashara hazitaki mtaji mkubwa sana.Na biashara izo ni uuzaji wa chakula yaani mama lishe nahapa tunangazia kuona kwenye uuzaji wa chakula kuna uuzaji wa vitafunwa kama vile maandazi sambusa nk.ambapo vitu hivi haviiataji mtaji mkubwa sana na ukija kuzungumzia mama lishe navilevile biashara hiii haitaji mtaji mkubwa sana kwani ukiwa na laki moja na nusu 150000/=unaweza kufanya biashara hiii tena isitoshe hata isiweze kufikia icho kiasi cha pesa.kwa leo tuishie hapa another time tutaenda kutaxama biashara zingine zisizotumiaaa mtaji mkubwa sanasana.

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUONGEZA SHEPU