JINSI YA KUONGEZA SHEPU
Jinsi ya kuongeza shepu bila kutumia sindano wala sajali vipo vitu ambavyo unaweza kuvitumia kukutengeneza shepu ikawa nzuri na yenye kuvutia moja 1 Asari ni moja wapo ya dhana kubwa katika kutengeneza shepu na ukawa na muonekano mzuri 2 Maziwa wengi hujua maziwa kwajili ya kunywa tu pasipo kujua maziwa yanakazi nyingi hutumika ata kukuza shepu pamoja na kuifanya ngozi kuwa nyororo 3 pedilomi ama vitu vyenye chachulimao pia tangawizi kwa leo tuishie hapo chapisho lijalo nitakwenda kukuelekeza namna ya kufanya na jinsi yakukuelekeza uwe kalibu na blogu yetu hii