Posts

JINSI YA KUONGEZA SHEPU

Jinsi ya kuongeza shepu bila kutumia sindano wala sajali vipo vitu ambavyo unaweza kuvitumia kukutengeneza shepu ikawa nzuri na yenye kuvutia moja 1 Asari ni moja wapo ya dhana kubwa katika kutengeneza shepu na ukawa na muonekano mzuri 2 Maziwa wengi hujua maziwa kwajili ya kunywa tu pasipo kujua maziwa yanakazi nyingi hutumika ata kukuza shepu pamoja na kuifanya ngozi kuwa nyororo 3 pedilomi ama vitu vyenye chachulimao pia tangawizi kwa leo tuishie hapo chapisho lijalo nitakwenda kukuelekeza namna ya kufanya na jinsi yakukuelekeza uwe kalibu na blogu yetu hii

SIMULIZI YA MAPENZI UPOFU 01

SIMULIZI YA MAPENZI UPOFU 01 Duniani kuna kila aina ya starehe na pia duniani kuna kila aina ya upendo lakini pia kuna kila aina ya maumivu lakini siku zoote wahenga walisema kuwa uyaone nahawakumanisha uyaone majengo ama magari ya kifahari bali walimanisha undani wa kibinadam na maisha yao kwa ujumlaujumlaujumla.Siku moja nilikuwa kijiweni tukipiga story nawenzangu lakini tukiwa tunaendelea kupiga story gafla alitokea binti kigori na bindi yule alikuwa ni mlembo asiye na mfano lakini cha kushangaza binti yule alikuwa akinitazama mimi peke yangu angari tulikuwa kama wanaume sita ila macho yakuvutia na yenye bashasha na yakulegea yalikuwa yakinitazama mimi kila nikijaribu kutazama pembeni ila nikinua macho yangu yanagongana na macho yayule binti cha ajabu binti yule au msichana yule aliyekuwa amevalia sketi ndefu na mwenye nywere ndefu na mwenye shape yake misri ya vikatuni vya masudi alikuwa akielekea ama ktufata mahali tulipokuwa tumeketi cha ajabu yule binti anakalibia nilisikia mwi...

BIASHARA YENYE MTAJI MDOGO

Watu wengi hushindwa kufanya maamuzi katika kuanzisha biashara kutokana na kukosa maalifa na kukalili kuwa kufanya biashara lazima uwe na mtaji mkubwa sanasana.Bali jibu ni hapana kwani kuna baadhi ya biashara hazitaki mtaji mkubwa sana.Na biashara izo ni uuzaji wa chakula yaani mama lishe nahapa tunangazia kuona kwenye uuzaji wa chakula kuna uuzaji wa vitafunwa kama vile maandazi sambusa nk.ambapo vitu hivi haviiataji mtaji mkubwa sana na ukija kuzungumzia mama lishe navilevile biashara hiii haitaji mtaji mkubwa sana kwani ukiwa na laki moja na nusu 150000/=unaweza kufanya biashara hiii tena isitoshe hata isiweze kufikia icho kiasi cha pesa.kwa leo tuishie hapa another time tutaenda kutaxama biashara zingine zisizotumiaaa mtaji mkubwa sanasana.